Interview Stamico

Interview Stamico

pretty n

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
298
Reaction score
71
Habari wanajamvi, naomba kuuliza kama stamico wameshaita watu kwny interview, asante.
 
Ndugu hayo yote siyajui ndo mana nimeomba kujulishwa, nways kwani huwa wanakaa siku ngapi from deadline ndo waite watu?
importantly ni simu kuwa hewani ol z times.tulieni!
 
Ndugu hayo yote siyajui ndo mana nimeomba kujulishwa, nways kwani huwa wanakaa siku ngapi from deadline ndo waite watu?

Labda baada ya pasaka!!! maana hawana haraka kama uliyo nayo wewe,hebu jifanyie mambo mengine kwa sasa maana watu humu hamlali usingizi mnawaza tu stamico na pccb sijui kuna nini huko
 
Una uzoefu wa kazi za migodini? Maana walisema waajiriwa wote lazima wawe na uzoefu huo!
 
Labda baada ya pasaka!!! maana hawana haraka kama uliyo nayo wewe,hebu jifanyie mambo mengine kwa sasa maana watu humu hamlali usingizi mnawaza tu stamico na pccb sijui kuna nini huko

kuna mapesa kaka huko hasa migodini..ndio maana watu wanaulizia xanah
 
hawakusema ni lazima, bt walisema ni added advantage.

labda sijasoma vizuri tangazo lao....kwahyo unategemea ushindane na mtu ambaye ni mwajiriwa wa barrick au GGM anaomba kazi stamico na wewe ambaye huna uzoefu kabisa! Ndoto za mchana,wenye uzoefu na kazi hizo ndo watakaopata
 
Hujawahi ku operate jackleg machine,washing face,,charging and blasting,fire fighting,re entry procedures,occupational health and safety,house keeping etc then unaomba kuingia stamico
 
Back
Top Bottom