Unakuwa unapewa tu maswali ya kawaida simple math,eng structure kidogo na ya elimu ya uraia kidogo mfano anaeza kukuuliza labda utaje maraisi wa east africa au mlima kilimanjaro una urefu gani au waziri wa afya ni nani, nk na mm pia nimeitwa hiyo tar 5 jmosi post ya management information systems II.