Unakuwa unapewa tu maswali ya kawaida simple math,eng structure kidogo na ya elimu ya uraia kidogo mfano anaeza kukuuliza labda utaje maraisi wa east africa au mlima kilimanjaro una urefu gani au waziri wa afya ni nani, nk na mm pia nimeitwa hiyo tar 5 jmosi post ya management information systems II.
mkuu mim pia nimeitwa nafas hyo tumeitwa kama 176 hvi.
Hivi zilikuwa post ngapi?? hata mie nimeitwa kwa post hiyo.mkuu mim pia nimeitwa nafas hyo tumeitwa kama 176 hvi.
Ni post 1
Hahahaha kumbe tupo wengi wa IT twende tukapambane hiyo Jmosi saa tatu asubuhi.Pole kama unatokea mkoani then unakuja Dar kwa shortlist ya watu 176 ni hatari lakini kwa sisi wakazi wa Dar si mbaya kwenda kujaribu
Kama unaweza kesho tukutane mkuu 0717400039 ,namba yangu hiyo
Mimi natoka mkoani ila nimeitwa mara mbili na za e-governancy agency na ndio maana sijaona uzito kufika. Mkuu naomba kesho nitafute ktk 0768277927 maana ni mgeni so nisije nikapotea mpaka kuipata sehemu muda umepita, ndio niko njiani nakuja daslam.