Interview result at efgpf( employment for gorverment provident fund) ubungo plaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Interview result at efgpf( employment for gorverment provident fund) ubungo plaza

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by steezo, Aug 14, 2011.

 1. s

  steezo New Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo vip wakuu? ebwana naombeni mnijuze coz nilifanya interview EFGPF hapo ubungo plaza kama wik 2 hivi zimepita lkn naona kimyakama kun a mtu anayejua kinachoendelea naomba anijuze coz hizi taasisi za serekali unaweza fanya usaili leo ukaitwa baada ya miezi kadhaa kupita.Naomba kuwakilisha wakuu


  nijuze
   
Loading...