Interview pspf

BABY ACY

Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
78
Reaction score
14
Habari wana jf, naombeni msaada wenu, mimi ni mmojawapo ya walioitwa kwa ajali ya aptitude test pspf, japo jina langu limejirudia kama mara 3 alafu adress tofauti naendelea kujipa moyo,

naomba anaejua a.test zao zinakuwaje naomba anijuze tafadhali, kwani ni mara ya kwanza kufanya a.test.UNAWEZA KUNI PM
 
duu kaka me mwenyewe limetoka cjui nianze vp na watu walivyonyomi ivo iyo pepa itakuwa ngumi jiwe
 
tujipe moyo vijana, kuhusu aptitude test mi pia sijawah kufanya ila kuna mtu kanidokeza ni google then nitapata format za aptituted tests.. so i suggest u do the same
 

kaka hao jamaa niliwahi kufanya nao hiyo test.ilikuwa mwaka juzi.watu zaidi ya 1400. tukachaguliwa watu 98 kwa ajili ya oral.............ila ni maswali ya ufahamu. yalikuwa maswali 50 dk 50. ni multiple choice tu. hakuna swali gumu........yalikuwa ya siasa, geography, hesabu nk. yani ni maswali ya kitoto sana. ila ni vizuri kujua vitu vya current hapa tz na duniani. pia tafuta network ya kukaa nayo..............otherwise siyo muhimu sana kuzingatia ushauri wangu lakini jua kwamba hivi ni vita na unapaswa kujipanga sawasawa. otherwise kila la kheri
 

Noted!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…