Interview PPF

Interview PPF

new generation

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
815
Reaction score
1,713
Jaman kuna aliye itwa interview ya ppf operation trainee? Tarehe 5/9/2015? Je anaweza fahamu interview zao zipoje? Na nadhan ni written interview..
 
Duh ppf unaeza fanya interview hata 10 kwa mtindo huu ni noma sana hpa kuna kupiga interview mpka 2016 April
 
tuombe mungu tu maana hizi kazi interview zilishapita wameanza tena. sjui ni nini hiki
 
Paper zao zinakuwa na maswali ya aina gani? General qns or about PPF only?
 
Kuna rafiki yang ameandikiwa Saa 2 Mimi Saa 5 the same position Hii itakuwa written ?au oral?
 
Dah jamaa yale maswal yao magumu du

ilikuwa balaa tupu , anyway ndio sababu ikaitwa interview.
nimeipenda kwani kuna rafiki yangu mmoja aliniambia jana usihangaike kusoma ukiwa unaingia kwenye interview is what you know generally will give you chance to pass
 
Back
Top Bottom