Habari zenu wana jamvi...
Vp kwa mwenye kujua chochote kuhusu matokeo ya interview ya data entry clerk ilofanyika tar 10 october,naomba anijuze.
Natanguliza shukrani zangu...
Habari zenu wana jamvi...
Vp kwa mwenye kujua chochote kuhusu matokeo ya interview ya data entry clerk ilofanyika tar 10 october,naomba anijuze.
Natanguliza shukrani zangu!
Daaah na hii nayo imekula kwangu, applications ambazo nimeishatuma PLAN ni za kumwaga lakini hata moja sijawahiitwa, by the way I got this from an insider mtu tayari kashaajiriwa