F Field Marshal JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 414 Reaction score 280 Jul 1, 2017 #21 Heri ya mwaka mpya...nawakumbusha tu leo ni JULY MOSI 2017
L lede lede Senior Member Joined May 7, 2017 Posts 140 Reaction score 63 Jul 1, 2017 #22 Field Marshal said: Heri ya mwaka mpya...nawakumbusha tu leo ni JULY MOSI 2017 Click to expand... unavigezo vyote???
Field Marshal said: Heri ya mwaka mpya...nawakumbusha tu leo ni JULY MOSI 2017 Click to expand... unavigezo vyote???
F Field Marshal JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 414 Reaction score 280 Jul 2, 2017 #23 lede lede said: unavigezo vyote??? Click to expand... vigezo vya nini tena?
S Scropion_Master Senior Member Joined Jan 8, 2017 Posts 109 Reaction score 115 Jul 7, 2017 #24 Mwenye mpya kuhusu hizi nafasi. Mwezi wa saba ndo huu
wisdom empire JF-Expert Member Joined May 5, 2017 Posts 337 Reaction score 288 Jul 9, 2017 Thread starter #25 Aisee mtaani njaa kali
M msirikalematata Member Joined Mar 27, 2017 Posts 10 Reaction score 2 Jul 10, 2017 #26 Wakuu naona kimya kuhusu interview, labda kuna yeyote aliyeitwa kwenye usaili tayari? Maana wamesema only shortlisted candidates will be informed
Wakuu naona kimya kuhusu interview, labda kuna yeyote aliyeitwa kwenye usaili tayari? Maana wamesema only shortlisted candidates will be informed
H Hipolitetz Member Joined Nov 21, 2016 Posts 44 Reaction score 36 Jul 10, 2017 #27 Aaaah week sahivi wapo kazini Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,939 Reaction score 10,822 Jul 10, 2017 #28 We upo kazini wakt uko kijiweni unasugua gaga Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
F Field Marshal JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 414 Reaction score 280 Jul 11, 2017 #29 nawakumbusha tena leo ni 11/7/2017.
M msirikalematata Member Joined Mar 27, 2017 Posts 10 Reaction score 2 Jul 31, 2017 #30 Field Marshal said: nawakumbusha tena leo ni 11/7/2017. Click to expand... Tukumbushe tenaa tarehe mkuu
Field Marshal said: nawakumbusha tena leo ni 11/7/2017. Click to expand... Tukumbushe tenaa tarehe mkuu
F Field Marshal JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 414 Reaction score 280 Jul 31, 2017 #31 Wale wa mwezi wa saba nawakumbusha leo ni tarehe 31 mwezi 7 mwaka 2017...hivyo mnaruhusiwa kusimamia msimamo wenu hadi mwezi wa saba mwakani panapo majaaliwa. AKHSANTENI
Wale wa mwezi wa saba nawakumbusha leo ni tarehe 31 mwezi 7 mwaka 2017...hivyo mnaruhusiwa kusimamia msimamo wenu hadi mwezi wa saba mwakani panapo majaaliwa. AKHSANTENI
F Field Marshal JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 414 Reaction score 280 Aug 11, 2017 #32 mr92 said: Imefanyika leo mkuu 10 august Click to expand... hongereni