wisdom empire
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 337
- 288
sawa mkuu hata Mimi nasubiri hizo nafasiSubiri kuanzia July mtaitwa.
wewe, sikuizi hatuiti tunawachunguza kwanza uko uko mliko kuna watu wameisha tumwa kuwachunguza sasa ukutwe ni kikojozi itakula kwako.wewe, sikuizi hatuiti tunawachunguza kwanza uko uko mliko kuna watu wameisha tumwa kuwachunguza sasa ukutwe ni kikojozi itakula kwako.
Dogo JKT unaenda lini?? Watu wapo serious we unaleta mambo ya kitoto.wewe, sikuizi hatuiti tunawachunguza kwanza uko uko mliko kuna watu wameisha tumwa kuwachunguza sasa ukutwe ni kikojozi itakula kwako.
Tusubiri hiyo july lakin ukipitia website yao kuna kitu kinaitwa mkataba kwa mteja ambapo wanaeleza kuw mwez mmoja baada ya deadline ya maombi inapaswa waitishe interviewSubiri kuanzia July mtaitwa.
hata Mimi natamani kujua.....au ilikua zuga km post za bandari?Wakuu hakuna Mwenye Mpya kuhusu pccb had sasa?
mda bado hadi wa 7 acha kukatisha wenzio tamaa labda zuga kwakohata Mimi natamani kujua.....au ilikua zuga km post za bandari?
Mwezi wa 7.Wakuu hakuna Mwenye Mpya kuhusu pccb had sasa?
Yeyote mwenye taarifa yoyote kuhusiana na usaili wa nafasi zilizotangazwa na pccb wiki kadhaa zilizopita naomba tujulishane maana binafsi sijasikia chochote hadi sasa baada ya muda wa kutuma maombi kupita.
ungeomba hivyohvyo ujaribu bahati yakoMkuu wewe uliomba ile kazi mbona vigezo vilikuwa vigumu sana?? maana haya mambo ya kuwa na cheti cha primary school naona kilinishinda maana mimi niliishia darasa la sita nikaendaga sekondary
Mm niliomba ivo ivo maana niliamini ht wakiona sina vigezo vyao hainizulu kitu.Mkuu wewe uliomba ile kazi mbona vigezo vilikuwa vigumu sana?? maana haya mambo ya kuwa na cheti cha primary school naona kilinishinda maana mimi niliishia darasa la sita nikaendaga sekondary
niliomba mkuu hata usijali tutakutana huko takukuru tukamate mafisadiungeomba hivyohvyo ujaribu bahati yako