Interview NMB

Interview NMB

Good People

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
938
Reaction score
1,819
Wakuu tulifanyia interview Dar vipi majibu maana walituambia ndani ya wiki moja tulifanya tarehe tatu. Naomba mwenye ubuyu aulete hapa.
 
kama una namba za wahusika wapigie uulize ili upate majibu ya uhakika
 
Poleni sana kutokana ukweli kwamba operation ya kutoa watumishi hewa mikopo mingi hailipiki kutokana na watu kusimamishiwa mishara yao. Hivyo imepelekea bank kupata hasara. Hivyo kuongeza wafanyakazi ni kuongeza ghalamanyingine za uendeshaji hivyo kupunguza faida. Tutaonana mda mwingine huu upepo ukipita.
 
Jina lako

Mdesi=Muongo
 
Uongo mtupu
 
Pia yeyote aliyeitwa northern zone tunaomba atutaarifu.
 
Back
Top Bottom