tanzania digital
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 425
- 269
Habari wakuu,naomba kujuzwa kama halmashauri ya Tanga wameshaanza kuita kwa ajili ya interview.Binafsi sikuwa hewani kwa mda kidogo.
Habari wakuu,naomba kujuzwa kama halmashauri ya Tanga wameshaanza kuita kwa ajili ya interview.Binafsi sikuwa hewani kwa mda kidogo.
Ndugu deadline ilikuwa tarehe 16 mwezi huu vumilia japo mwezi mmoja na nusu au miezi miwili yatakuwa tayari . Ni mapema sana kwa halmashauri kuita watu ndani ya wiki tangu deadline. Wataanza kuita mwezi wa 4 au wa 3 mwishoni.
mwenyewe nimepigiwa leo wamesema usahili wa kuandika ni ijumaa tarehe 13 hapo halimashauri ya jiji la Tanga
Jana nimepigiwa simu na afisa utumishi wa halmashauri kuwa interview ni ijumaa ya wiki hii tarehe 13/3
Mtendaji wa kijijiUmeitwa kwa nafasi ipi mkuu?...Mtendaji wa kijiji au city inspector?