Interview Mpower Energy

Interview Mpower Energy

eribedama

Senior Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
114
Reaction score
78
Kuna List ya majina ya baadhi ya watahiniwa walioitwa kwa Interview ya Off Grid Au Mpower Solar Energy kwa jina kingine.

Kama kuna mwenye ufaham hua wnauliza maswali gani kwenye Interview zao na kwenye Panel.wanakua watu gani.

Thanks.
 
Utarudia rest ulofanya online, ole wako upate below ya uliyopata mwanzo bila calculator n cheating
 
Ahsanteni wakuu, but yale.maswali ya Marhematics yale.ndo patakua oagum pale bila Caluculator. Duuuuh! I hope i will make it.
 
Na malipo yao ni kiasi gani? Wanalipa vizuri ama ni kama wale wavietnam wa Viettel na kamouni yao.ya simu.
 
Na malipo yao ni kiasi gani? Wanalipa vizuri ama ni kama wale wavietnam wa Viettel na kamouni yao.ya simu.

jamaa yupo probation ya miezi mitatu,alnambia wanampa laki 5 kama take home,cjajua sasa akimalza hyo probation atakua anadaka ngapi.
 
Back
Top Bottom