Interview meneja wa SACCOS

Interview meneja wa SACCOS

lekitoshi

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
14
Reaction score
3
Kuna ndugu yangu kapewa taarifa ya kuhudhulia ktk interview ya nafasi ya Meneja wa SACCOS moja hapa dsm, naombeni mnipe kile kinachoweza kuulizwa kwenye hiyo interview wadau! pls pita kimya kama huna msaada.
 
Tanzania tuna shida kweli yaan kwanin yeye aliyeomba kazi siwalisema majuku yake, na kwanini asije mwenyewe hapa, muachie simu yako kama hana, au ni wew mwenyewe unajidai ndugu yako
 
kama ningekua mm ningeogopa nn au nan kushindwa kuuliza? wamepita wengi tu hapa wamechungulia wametulia nyie ndo mnajifanya kila kitu lazima mchangie! kwanza inaonekana hamna chochote mnachojua, mtu anaejua jambo haangalii nani alietoa maada bali anaangalia mada! nendeni mkanye mkalale!
 
Back
Top Bottom