Written mkuu
Wnapewa makaratasi kabisa wanafanya pepar.
Kama i vitoto vya chekechea ndani ya huo mtihani wanakuta maswali kama haya.
1.What is your name?
2.Where are you come from?
3.What is your father's name?
Na mengineyo.
Kama ni dogo wa darasa la tano anaweza akapewa pia maswali ya darasa la tano.
SWALI JINGINE?