Interview leenergy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Interview leenergy

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Zheneba, Nov 5, 2011.

 1. Zheneba

  Zheneba Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Jaman wana jf nadhan mliona hii kampuni ilitangaza kazi nyng kama marketing officcer (30) na regional agent(4 ) ilikuwa sept, j3 iliyopita wakanipigia simu njoo j5 Ppf tower 4th floor nikadhani ni interview kumbe nimfano wa DECI unatoa 100$ kama membershp fees afu ukileta mwenzako unakuwa unapata asilimia kadhaa jaman tuwe carefully na haya makampuni tutaenda kuibiwa.
   
 2. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hehehe hiyo deci mzazi, kazi unalipia hela? Khaaaaa
   
 3. Zheneba

  Zheneba Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Yan eti ukileta mteja unapewa some percent wez kama nin?
   
 4. I

  Isaack Binya Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yah ni wahuni kwel,nami nilienda,yaan kuwapata wa2 kwenda kwa deci yao wanatangaza kama kaz vle,mnapgwa semina pale mkitoka mnapewa sabun zao za kichina!
   
 5. g

  gizalucky Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  deci ndo zinarudi kimtindo wa jobs vacancies...vipi na hawa jamaa wanaitwa QUESTNET wamenitumia sms mara kibao sio walewale pia??jamani wanajamii tufahamishane kuhusu Quest net
   
Loading...