Interview erolink

Interview erolink

Mizzle87

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
93
Reaction score
6
Msaada tena nimeitwa na vodacom kwa post ya customer care kesho saa 4 asubuhi erolink moroco. Km yupo tulieitwa nae humu tuwasiliane na kwa yeyote aliewahi kufanya interview nao hawa jamaa anisaidie interview zao zipoje(oral or written) na maswali gani labda nitarajie kwenda kukutana nayo kwa post yao hiyo.
 
Oral and written wanafanya.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Maswali Yao ni ya kawaida sana Kua familia na huduma za Voda uzijue!! Bax na ku type sana sana so simple ondoa Shaka!!!
 
Maswali Yao ni ya kawaida sana Kua familia na huduma za Voda uzijue!! Bax na ku type sana sana so simple ondoa Shaka!!!

Mfanganye tu mwenzio uone kama atapata hiyo kazi kwa kujua,ku type...atakuja hapa alete majibu...
 
Kigogo; Nisaidie na wewe unachokijua wenda nikakutana nacho ata kwa kuni-inbox mkuu.

Mfanganye tu mwenzio uone kama atapata hiyo kazi kwa kujua,ku type...atakuja hapa alete majibu...
 
hawa matapeli bado wana ajiri jamani .kweli pesa ni kipq kitu.
mkuu kuwa mwangalifu na hiyo kampuni ina kesi nyingi sana
 
Jua products and service za Vodacom..kutype kwa speed..how to power on computer..save document..create folder...et cetera mambo ni mengi il a yanaeleweka swala zima kujiamini tu @ Mizzle87
 
Qns: products and service za voda.
2: mteja akipiga simu akiwa mkali itafanyaje ili kuweza kumtuliza na kuweza kumuhudumia.
3: kwenye writen na oral yapo sawa. Ila pia wana computer interview, maswali yao ni kubold, italic, color kutegemea neno utakalopewa kulifanyia kazi ambayo ni normal kama unajua application office

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom