Habari zenu wapendwa,
Hivi karibuni, kama wiki 3 Ubalozi wa Ireland uliita watu kwa ajili ya written interview. Je, kuna aliyeitwa? Maana naona kimya na nimezoea shortlisted candidates lazima waelezwe kama wamepita au la. Nani ana uzoefu na recruitment process za hawa watu?