Interview Eckenforde University

kimafey

Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
62
Reaction score
1
Habari zenu wanajamvi naomba kuuliza kuna mtu humu ndani alifanya interview Eckernforde University siku ya tar 4/7/2014? Nahitaji kujua nini kinaendelea maana naona wako kimya.
 
Kwani eckenford ni university ?? Hatari sana yaani pale ni majanga matupu embu tcu fanyani mpango mkifute!!
 
Jamani hamna mwenye information zozote kuhusu nilichouliza hapo juu?
 
Kuna jamaa yangu alifanya ila walipewa barua za ajira na wakaambiwa wataitwa TCU wakikubali kozi zilizoombwa na chuo.ila mpaka sasa bado.subirini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…