Interview Eastern Zone NMB

habarini wana jamvi, nmb eastern zone wameanza kuita watu kwenye interview. kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu interview za nmb naomba anijuze.
Sorry naomba niulize wametuma notification through email au wanapiga simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…