F free gage Member Joined Dec 8, 2014 Posts 76 Reaction score 6 Feb 10, 2015 #41 nasikia wanaitwa kwa batch
K katrina kwambiana Member Joined Feb 6, 2015 Posts 33 Reaction score 8 Feb 11, 2015 #42 Na training ni Lin?
H happily New Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2 Reaction score 1 Feb 11, 2015 #43 mti mnene said: kunayeyote aliepigiwa simu kwa ajil ya kuitwa kwenye oral interview? Click to expand... Hivi wameanza kuita? Me pamoja na ninaowafahamu hamna aliyeitwa hadi sasa
mti mnene said: kunayeyote aliepigiwa simu kwa ajil ya kuitwa kwenye oral interview? Click to expand... Hivi wameanza kuita? Me pamoja na ninaowafahamu hamna aliyeitwa hadi sasa
M mti mnene JF-Expert Member Joined Jan 5, 2015 Posts 515 Reaction score 1,278 Feb 12, 2015 Thread starter #44 happily said: Hivi wameanza kuita? Me pamoja na ninaowafahamu hamna aliyeitwa hadi sasa Click to expand... wamepiga simu kuwataarifu waliofanikiwa kupass kwenye written. wamesema watatuma sms ili kutoa taarifa kuhusu siku ya oral interview.
happily said: Hivi wameanza kuita? Me pamoja na ninaowafahamu hamna aliyeitwa hadi sasa Click to expand... wamepiga simu kuwataarifu waliofanikiwa kupass kwenye written. wamesema watatuma sms ili kutoa taarifa kuhusu siku ya oral interview.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 12, 2015 #45 mti mnene said: wamepiga simu kuwataarifu waliofanikiwa kupass kwenye written. wamesema watatuma sms ili kutoa taarifa kuhusu siku ya oral interview. Click to expand... Wewe umepigiwa simu?
mti mnene said: wamepiga simu kuwataarifu waliofanikiwa kupass kwenye written. wamesema watatuma sms ili kutoa taarifa kuhusu siku ya oral interview. Click to expand... Wewe umepigiwa simu?
M mti mnene JF-Expert Member Joined Jan 5, 2015 Posts 515 Reaction score 1,278 Feb 12, 2015 Thread starter #46 Honey Faith said: Wewe umepigiwa simu? Click to expand... Ndio nimepigiwa.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 12, 2015 #47 mti mnene said: Ndio nimepigiwa. Click to expand... Kuna rafiki yangu alifanya written alikuwa anasubiria hiyo simu ngoja nimuulize kama kapigiwa
mti mnene said: Ndio nimepigiwa. Click to expand... Kuna rafiki yangu alifanya written alikuwa anasubiria hiyo simu ngoja nimuulize kama kapigiwa
Bravo Engliash Senior Member Joined Jul 29, 2012 Posts 128 Reaction score 55 Feb 12, 2015 #48 Mimi nimepigiwa simu kwa ajili ya second interview lakn inabidi nisubirie msg ndio itatumwa kuelekeza ni siku gan kwa ajili ya oral interview.
Mimi nimepigiwa simu kwa ajili ya second interview lakn inabidi nisubirie msg ndio itatumwa kuelekeza ni siku gan kwa ajili ya oral interview.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 19, 2015 #49 Hebu tuabarisheni mliopigiwa kwa oral interview vipi ilishafanyika?
F free gage Member Joined Dec 8, 2014 Posts 76 Reaction score 6 Feb 23, 2015 #50 oral bado kuna watu bado wanaenda kwenye writen mpaka wiki ya tatu
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 23, 2015 #51 free gage said: oral bado kuna watu bado wanaenda kwenye writen mpaka wiki ya tatu Click to expand... Kuna watu bado wanafanya written??
free gage said: oral bado kuna watu bado wanaenda kwenye writen mpaka wiki ya tatu Click to expand... Kuna watu bado wanafanya written??
K katrina kwambiana Member Joined Feb 6, 2015 Posts 33 Reaction score 8 Feb 27, 2015 #52 Bravo Engliash said: Mimi nimepigiwa simu kwa ajili ya second interview lakn inabidi nisubirie msg ndio itatumwa kuelekeza ni siku gan kwa ajili ya oral interview. Click to expand... Samaha vp ulifanikiwa?na je mmeambiwa training ni Lin?
Bravo Engliash said: Mimi nimepigiwa simu kwa ajili ya second interview lakn inabidi nisubirie msg ndio itatumwa kuelekeza ni siku gan kwa ajili ya oral interview. Click to expand... Samaha vp ulifanikiwa?na je mmeambiwa training ni Lin?
M mti mnene JF-Expert Member Joined Jan 5, 2015 Posts 515 Reaction score 1,278 Feb 28, 2015 Thread starter #53 free gage said: oral bado kuna watu bado wanaenda kwenye writen mpaka wiki ya tatu Click to expand... oral ilifanyika tar23 mwezi huu. Acha upotoshaji.
free gage said: oral bado kuna watu bado wanaenda kwenye writen mpaka wiki ya tatu Click to expand... oral ilifanyika tar23 mwezi huu. Acha upotoshaji.
Bravo Engliash Senior Member Joined Jul 29, 2012 Posts 128 Reaction score 55 Feb 28, 2015 #54 Oral tulipga trh 23 j3 ilyopta eastern zone office, feedback itakuwa nxt wk
K katrina kwambiana Member Joined Feb 6, 2015 Posts 33 Reaction score 8 Mar 2, 2015 #55 Bravo English una maanisha fdback ni dis week?
Bravo Engliash Senior Member Joined Jul 29, 2012 Posts 128 Reaction score 55 Mar 2, 2015 #56 Bravo English una maanisha fdback ni dis week? Yeeeah this wk mdau Katrina
Bravo Engliash Senior Member Joined Jul 29, 2012 Posts 128 Reaction score 55 Mar 2, 2015 #57 Yeaah this wk mdau Katrina
K katrina kwambiana Member Joined Feb 6, 2015 Posts 33 Reaction score 8 Mar 2, 2015 #58 Aya asante kwa taarifa
M mti mnene JF-Expert Member Joined Jan 5, 2015 Posts 515 Reaction score 1,278 Mar 6, 2015 Thread starter #59 jamaa washaita watu kazini
Slim Corleone Member Joined Mar 6, 2015 Posts 65 Reaction score 28 Mar 7, 2015 #60 Kwa wale waliomba central zone nmb mshaitwa kwenye interview?