Vp wewe unazoefu wa bank,nataka kujua vgezo vyao haswa vya kuita.Mimi nasubiri watakapo tangaza za Southern, maana nilijua tu interview itakua hukohuko Moro.
Vp wewe unazoefu wa bank,nataka kujua vgezo vyao haswa vya kuita.Mimi nasubiri watakapo tangaza za Southern, maana nilijua tu interview itakua hukohuko Moro.
Yan labda alikua ameghafirika wkt amenipigia., kasema nitakua mmoja wapo kati ya watakaoenda kwenye interview yao ya nmb., bas. Labda tulipitiwa sote wkt tunaongea. Nambie trh nami nije hyo hyo
Habar za jioni wakuu, wadau kuna mtu yeyote ambaye amepigiwa simu na NMB kwa zile post za kanda ya Pwani coz kuna jamaa yangu mmoja amepigiwa leo. Nawakilisha wakuu.
Mti mnene jana niliwapigia ile asubuhi., wakaniambia niende hyo kesho hapo hapo hilux hotel saa mbili asubuh., bila kusahau vyeti, picha moja, na kalamu