yenyewe
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 621
- 94
Salama wakuu?
Nikiwa nimetafuta kazi muda wa miaka miwili na kukosa hata bahati ya kuitwa walau interview moja, leo tarehe 07/02/2015 saa saba usiku nimepokea ujumbe ufuatao:
"CMSA invites you for interview 10.2.'15, from 8am law School of Tanzania near SIMU 2000 stand Ubungo. Fin. Analysts & Planning Officer. Ref. Guardian 23.1.'15"
Sasa mkuu naomba uvae viatu vyangu yaan jifanye wewe ndo mimi na unambie kama ungeattend hiyo interview.
Zangatia: Mimi ni mkazi wa Ushirombo na tarehe iliyotajwa ni 10/02/2015.
Nitashukuru sana kwa mchango wako.

Last edited by a moderator: