Wanajamvi nimeitwa katika interview moshi kwa post hiyo kwa simu na interview inafanyika kesho asubuhi saa 2 tar 2/4/2014 hivyo basi nahitaji msaada wa mwenyekujua interview zao huwa zinakuaga za aje (maswali yapi huwa yanaweza kuwepo kwa post hiyo) na kwa namna gani (oral/written).
Naomba kuwasilisha tena wanajamvi na nimatumaini yangu nitapata msaada mtambuka kutoka kwa yeyote aliyewahi kufanya nao kazi au interview.