Samahani sana wakuu,simu ilizingua,hata hivyo sikwenda tena,niliambiwa eti mshahara laki tatu na ni kuhangaika mitaani kutafuta wateja,sio kwamba ni kazi mbaya,ila eneo nililokuwepo na muda walionipa ulikuwa mdogo sana.lakini pia mwenye kujua vema anaweza akatupa ukweli zaidi