Interview at smile telecommunication co ltd

Interview at smile telecommunication co ltd

Nakushauri uende,nasikia jamaa wako vizuri kwenye malipo(wanalipa in terms of dollars).Huwezi jua huenda tym yako ya kusahau shida imefika.
 
OK ntaenda ila najiuliza wamepata wap my CV na my contacts
 
erolink wanahusika mkuu,hope uliwai kupeleka cv yako erolink
 
Chema chajiuza...hiyo title si haba..ila kwa kushangaa kwako inaonesha hii habari ya kupika
 
Sijapika mtumishi!! Na Kwann mm nifanye hivo ndugu yangu!
 
hao waturuki wanalipa mbaya go go I know them well//niliwa fanya nao kazi za temporary!
 
Habari zenu wandugu? Nikwamba nimeitwa interview kampuni ya smile katika position ya executive sales manager! Lakini cha kushangaza sikuwahi tuma CV yangu pale Sasa nashindwa elewa je ni magumashi au vp? Na interview inafanyika ijumaa kwenye jengo ambalo wame lease pale karibu na makao makuu ya zantel

itakuwa imetumwa na watu uliofanya nao intavuu ambao wanamahusiano nao..
 
Hao wapo chini ya erolink...post ni sales executive...na sio sales executive manager maana hakuna hiyo title ...sales manager yupo so unaweza kuwa direct sales au indirect sales...

uwe tayar na practicle interview..

Unaweza ambiwa uza hiyo modem au simu....

All the best
 
They pay good?
 
Back
Top Bottom