Habar wakuu vipi nahitaji kujua nani ambae amepitia kwenye hii room na jee vipi unavyowekwa kitimoto na wazee wakazi wakikuangalia na maswali yao ya mitego... Binafsi naionaga tuu kwenye movie vipi kuna mtu aliepitia hio process atupe japo dondoo
Nakubali, kama hujafanya kitu unakua na confidence ya hatari, nilishawahi hojiwa police asee aliniambia mwenyewe kwa kweli huusiki masna nilokua nipo clear kwenye kila kitu na maswali yake ya mtego aliishia kujivhanganya mwenyewe