Interpol Bado Inamsaka Alex Massawe

Interpol Bado Inamsaka Alex Massawe

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Taarifa za kizushi na uongo zinazosambazwa kwa kasi mitandaoni kuwa Alex Massawe kakamatwa si za kweli na ni uzushi mtupu.
Link Chini ni kithibitisho tosha kuwa bado anasakwa kwa udi na uvumba.

- INTERPOL
 
Alikawamtwa July 2013 akatoroka July 2014,yupo south Africa anakula bata.
 
kuna majambazi sugu zaidi yake, cha ajabu yakipita barabarani ving'ora na sisi na magari yetu tunawekwa foleni hadi yapite! Foolish! Masawe fanya plastic surgery na ishi maisha yako
 
Ni mwizi,Jambazi,Tapeli mkubwa haya mambo wanayofanya kina papa Msofe,huyu Masawe ndiyo mwalimu wao...

Acha wivu wa Kike wewe,mwache awaibie hao hao wezi wa mali za Umma na matajiri wenzake. Unataka kuniambia wizi au utapeli wake una directly impacts gani kwako na kwa Maisha ya Watanzania wengi kuliko hayo Majizi ya Serikalini ya EPA,Richmond,Escrow,Meremeta,Gas na uchafu wa kila aina unaogusa Maisha ya kila siku ya Watanzania moja kwa moja?
 
Ni mwizi wa nini? May be alishakuibia.

Alinunua nyumba ya jamaa yangu,miaka hiyo manunuzi yalifanyika jioni,usiku watu walikuja kuchukua fedha,we kama umekuja juzi mjini waulize watu wanaomjua...
 
Acha wivu wa Kike wewe,mwache awaibie hao hao wezi wa mali za Umma na matajiri wenzake. Unataka kuniambia wizi au utapeli wake una directly impacts gani kwako na kwa Maisha ya Watanzania wengi kuliko hayo Majizi ya Serikalini ya EPA,Richmond,Escrow,Meremeta,Gas na uchafu wa kila aina unaogusa Maisha ya kila siku ya Watanzania moja kwa moja?
Wacha ungese wewe,unajua ni kiasi gani watu wangu wa karibu wamedhulika kutokana na vitendo vya huyu jamaa?,pambavuuuu.
 
Ok, ndiyo matatizo ya kuja mjini juzi juzi.
Kipindi hicho wanafanya biashara na ndugu yako kulikuwa hamnaga benki mpaka wapeane hela jioni?
 
Wacha ungese wewe,unajua ni kiasi gani watu wangu wa karibu wamedhulika kutokana na vitendo vya huyu jamaa?,pambavuuuu.

huenda hata hao rafik zako ni miongon mwa majizi ya meremeta,,,,,, acha ya waibiwe tu. Mtaji wa maskini.........
 
Acha wivu wa Kike wewe,mwache awaibie hao hao wezi wa mali za Umma na matajiri wenzake. Unataka kuniambia wizi au utapeli wake una directly impacts gani kwako na kwa Maisha ya Watanzania wengi kuliko hayo Majizi ya Serikalini ya EPA,Richmond,Escrow,Meremeta,Gas na uchafu wa kila aina unaogusa Maisha ya kila siku ya Watanzania moja kwa moja?
ww akili yako km dodoki kabisa huna tofauti na Nyakageni

Alex ananunua nyumba na anakuua achukue numba yako
Alex hataki umshinde utajiri anakuua achukue malizako
hao escrow si ni wewe mwenyewe umelipa bill za umeme kwa nini usingegoma Meremeta walifika lini kwako au unahadithiwa tu
 
Back
Top Bottom