Nenda kapige kazi. Wanalipa.Hello Wanajf nimeitwa internship WVT kupitia Taesa ila ni mkoa tofauti na nipo, kwa mwenye experience anijuze kama WVT wanalipa interns pia au inakaaje?
Hongera sana, nenda chapHello Wanajf nimeitwa internship WVT kupitia Taesa ila ni mkoa tofauti na nipo, kwa mwenye experience anijuze kama WVT wanalipa interns pia au inakaaje?