And location.No qualifications
Mkuu kwann msiajiri kabisa? Hizi internship naona ni kama unyonyaji tu.Check on the provided instructions
Mkuu,internship kwa sababu tunatafuta watu ambao tutawaajiri after learning the business model(We are building a team).Mkuu kwann msiajiri kabisa? Hizi internship naona ni kama unyonyaji tu.
Kwenye website?Check on the provided instructions
watakuwa wanakaa kweny hostel za kampuni?N
Nauli ya kwenda wapi?
wanapokuwa wanaenda kazini watakuwa wanaenda kwa miguu?Mkuu unataka wakae wapi?Najaribu kukuelewa ila sikuelewi.Ila asante kwa kuchangamsha uzi
Mkuu,tangazo la kazi umelielewa?Una vigezo vilivyowekwa?umeomba?Umeitwa interview?Umefanikiwa kupita interview?Umepewa mwongozo(Induction)?Kama bado hujafanya hivyo vyote utaendaje kazini?Embu uliza maswali ambayo hata nikikujibu nawasaidia wengine wanaosoma huu uzi?wanapokuwa wanaenda kazini watakuwa wanaenda kwa miguu?
Kama(IF) mtu akapita kote huko mpaka induction...kuna posho?Mkuu,tangazo la kazi umelielewa?Una vigezo vilivyowekwa?umeomba?Umeitwa interview?Umefanikiwa kupita interview?Umepewa mwongozo(Induction)?Kama bado hujafanya hivyo vyote utaendaje kazini?Embu uliza maswali ambayo hata nikikujibu nawasaidia wengine wanaosoma huu uzi?