Try this, not totally free but very cheap using your mobile phone: settings - configuration - prefered access point (select Tigo WAP or Zantel WAP) - activate default in all applications - connect to service provider - options - other options - go to address (type the website address of your choice) - ok. There you are, browse cheaply down to less than 500/- for the whole day!
Haya nimekuja kama mkombozi wenu tena kunapost niliweka nikatoa fasta for my own security.
NIMEFANIKIWA KUCHAKACHUA LINE ZA MTANDAO FULANI NATUMIA NITERNET BURE up to 3.1MBPS NI 3.5G
KAMA KUNA MTU YUPO SERIOUS ANI PM Bei ni elfu 25 tu na unapata line na ukiweka kwenye modem unapata FREEEEE internet.
so wale wanao taka wanicheki.
nb: mimi natumia free internet mwezi unaisha sasa...Uncle Rukas bado haamini...tu.............
cheers.
Mpumbavu wewe nenda kule kwenye jukwaa la lugha kama unajiona ni mahiri kwenye lugha, hapa tunachojari ni kwamba ujumbe umefika au lah!
Sawa mkombozi wetu.... Umesema umefanikiwa kuzichakachua, na unauza kwa 25buks, na unajua ili siyo jukwaa la biashara bali ni la technolojia hapa tunapeana ujuzi na siyo biashara...
Basi tupe njia ulizotumia kuchakachua hizo line hadi kupata free internet na sisi tuzitumie kupata hiyo free internet....Maana hapa tunapeana maujuzi tu na siyo majungu au kufanya biashara.
Siwezi nikakuamini mkuu maana inaonekana wewe ni mwongo sana, awali ulisema ulipewa line kama 5 hivi na za ma-IT wa tigo ambao uwa wanapewa huduma hiyo bure, leo umekuja na kusema umezichakachua mwenyewe! mbona kauli zako zinapishana mkuu na bado unataka ni kuamini kwa lipi mkuu wangu?
Narudia tena, kuwa makini kijana wangu.

<br />Hizi ni story tu mkuu... au mara nyingine unakuta kuna makosa yamefanyika kwenye mtandao husika watu wakawa wanapata net bila kikomo kama ilivyowai kutokea kwa voda, sasa watu wengine ikitokea hivyo wanadanganya wenzao wamechakachua kumbe kamba tu...
Mmmmmh? Nani mpumbavu hapa, aliyekosoa au aliyekosea?Mpumbavu wewe nenda kule kwenye jukwaa la lugha kama unajiona ni mahiri kwenye lugha, hapa tunachojari ni kwamba ujumbe umefika au lah!
Hivi kelele zote hapa JF dhidi ya ufisadi ni geresha tu? Unapowaibia ISPs huo siyo ufisadi? Great thinkers indeed!!!!!!!!Tunauziana teknolojia siku hizi humu?
Punguza hasira bro, sio vizuri kumuita mwenzio hivo mbona kukosolewa ni jambo la kawaida sana ukiwa hapa JF
hayo ma-wifi ndo maujanja gani?
Wakuu nami nimevutiwa na hii ya wi-fi ndio niaje niaje wakuu ?na kulock modem ni vipi unafanya ?samahani kama nimetoka nje ya mada wakuu.