hii issue hata mimi nimewahi kusikia,,LAkini cjapata kujua,Nilijua ni story tu!!i hope there is somebody who knows atupe elimu hiyo!!
Msemo Mpya huo nini ? Sema Bure Sio ''Bule''Kuna msemo "bule aghari" achaneni na hiyo biashara sio issue
kuna kaujanja kanatumika ktk mtandao mfano una laini yako ya tigo au airtel,kuna jinsi unafanya then unapata internet bure muda wote miaka yote,kama hamjui hiyo siri,ni kwamba ipo!niliwahi muona jamaa wapatao wawili wenye laini tofauti wana enjoy maisha.je kuna anayejua kufanya hayo hapa jf?msaada pls!
hayo ma-wifi ndo maujanja gani?
Msemo Mpya huo nini ? Sema Bure Sio ''Bule''
Punguza hasira bro, sio vizuri kumuita mwenzio hivo mbona kukosolewa ni jambo la kawaida sana ukiwa hapa JFMpumbavu wewe nenda kule kwenye jukwaa la lugha kama unajiona ni mahiri kwenye lugha, hapa tunachojari ni kwamba ujumbe umefika au lah!
but remember hiyo clonning ni kwamba unakuwa unampa bill yako mtu mwingine ambae hausiki.