Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Mkuu pole na majukumu naomba msaada apps ambayo ntaweza downlod move na video youtube,mwanzo nilikuwa natumia videoder saizi naona inagoma.Jaribu kutumia pdanet+ ipo playstore unadownloAd kwenye simu na pc.
Yenyewe badala ya kutumia built in drivers inatumia za Kwame, kama ni Tatizo la mtandao wa simu inaweza bypass.
Inatumia USB tethering
Umejaribu kui update mpaka latest version?Mkuu pole na majukumu naomba msaada apps ambayo ntaweza downlod move na video youtube,mwanzo nilikuwa natumia videoder saizi naona inagoma.
Hii naweza kutumia hata kwenye pc?Umejaribu kui update mpaka latest version?
Ipo open source moja inaitwa dentex ni simple sana kama hutaki mambo mengi
Imezingua vipi?Mkuu niaje naona hiyo nimejaribu kudownlod ila imenizingua
Kuna nyingine inaitwa y2mate ipo poa waweza ijaribuMkuu pole na majukumu naomba msaada apps ambayo ntaweza downlod move na video youtube,mwanzo nilikuwa natumia videoder saizi naona inagoma.
Poa mkuu ngoja nicheckKuna nyingine inaitwa y2mate ipo poa waweza ijaribu
Mkuuu shukuran nimefanikiwaKuna nyingine inaitwa y2mate ipo poa waweza ijaribu
Anza kupambana na kazi ya kuedit chief ahahahMkuuu shukuran nimefanikiwa
Habari zenu ndugu zangu na tumia hp notebook 15 pc yangu ina sumbua upande wa internet hasa wakati wa kudownload unakuta kitu kina mb 4 tu na mtandao ni 4g ila inatumia hadi dak 10 au 15 kitu cha mb 200 kinatumia masaa 3 hadi msaa 4 sasa usije jaribu cha gb 1 unaweza kulia maana hadi masaa 10 inachukua. Je nauliza nn itakuwa tatzo maana nimesha tumia wifi,router(universal 4g) ninayo modem ya 4 g nayo ni universal ya huawei,cable table(ili ya kuonganisha na usb wire).
Hivi vyote ninavyo yaan na wifi(simu),router 4g,modem 4g. Navyote nakitumia vinashidwa kudownload au inakuwa na slow speed hata nikiwa naangalia video youtube nikiwela high quality inasumbua hatari ila ili tatzo la kuwa kuna tatzo upande wa kudownload lilikujaa baada ya tcra kufungulia mitandao ila kabla ya uchaguz ilikuwa inakimbiza fresh tu ilikuwa inapeleka hadi 4m per sec ila sasa hv hakuna kitu. Hapo speed inakaaga mara nyingi ni 72.2 mbps ingawa muda huu imekaa 100 mbps wakati na ichukua . Msaada wenu wa dau chief-mkwawa
nafakabeinafuu