Halafu kuna watu wenye akili timamu na wasomi kabisa wapo kimya tu wanaangalia tu nchi inavyozamishwa. Yani leo 🇹🇿 haina tofauti na Zimbabwe ya enzi za Mugabe.Dunia yote inamshangaa huyu mama kwanini ameshinda kwa kishindo alafu haya yote yanatokea?🤣
RasmiHuu utawala umeshafeli mazima
Tunataka mauaji,utekaji na wizi wa kura....Hatutaki maandamano
Wana JF, lHabari za muda huu…
mambo yanavyoenda sasa hivi ni straight up wild, yani pure madness.
Tumeshaambiwa mara kadhaa kuwa internet inaweza kuzimwa and honestly, tujiulize… kwanini? What’s the real play here?
Because hii story yote inanuka agenda za chini ya meza.
Yani unaamka asubuhi unakuta taifa linaendeshwa kama cheap street hustle, no plan, no accountability, just vibes na panic.
Internet kuizima si protection, si security ni move ya kutuchonga kama hatuna akili.
Who does that in 2025?
This ain’t leadership, this is straight up chaos mode.
Halafu watu wanafanya kama access ya information ni luxury.
Bruh, people make money online, tunauza, tunafanya remote jobs, tunawasiliana halafu mtu anakuja na hii idea ya “let’s shut it down”…
For what?
To hide what?
To block what?
Because once you switch it back on EVERYTHING pops up.
Hakuna siri ya digital. Period.
Na kama mtu kweli anajali nchi, anajali uchumi, anajali youth, anajali stability
Hizo decisions hazitoolewi kama uko kwenye free trial of leadership.
Tanzania sio playground.
Hii ni nation, not some street corner where people act impulsively.
Wanaomzunguka kiongozi badala ya kumtahadharisha wanajitupa kwenye yes-boss energy kama wanatafuta endorsement.
Uchawa unaua nchi bila mlio.
Tunaishi kwenye nchi yetu kama tuko kwenye restricted mode, hakuna uhuru, hakuna consistency, hakuna direction.
Kama system haiwezi ku-hold pressure bila kufunga internet, bila kuvuruga wananchi, bila kutisha watu
Then yo, let’s be honest… someone needs to step back.
Because future ya taifa haiendi mbele kwa fear + silence + cover ups.
Tunataka stability, openness, real leadership, real talks, sio hizi move za kuturudisha enzi za giza.
Tanzania deserves better.
Watu wake wanastahili better.
Na generation ya sasa we see EVERYTHING.
Safari hii wamepanga wakizima mtandao na kuanza kufanya yao, kuzunguka nyumba kwa nyumba na kukusanya simu za watu au kuzivunja pale pale. Hiyo ndiyo level yao ya kufikiri ilipo.Ujinga wanaofanya ni kwamba wanazima ila wao wanaendelea tu kupata internet ,yaani kwao internet muhimu sana kuliko wafanyabiashara ambao ndiyo wanaochangia kodi kubwa serikalini ,wanazuia IPs zote za wafanyabiashara na kuruhusu IPS zao tu ziweze kupata internet.
Internet wanatumia wao kuangalia Youtubes na nje wanasemaje basi hawaingizi hata 100....Katiba mpya ni muhimu sana kuondoa huo uhuni ,na tuongeze kwenye maridhiano kwamba Elon Musk alete Internet yake hapa bongo tuondokane na Ukiritimba wa TCRA.
Hatari sana.Wanaogopa nini wakati wamechaguliwa na 98% ya watanzania wote.
Wamefungia X, wamefungia tik tok na jamii forums. Bado mtaani uhuru wa kuzungumia serikali haupo.
Watu wananungunikia moyoni kwa sababu ya kuogopa kukamatwa na polisi au kutekwa.
Kweli kabisa ila ndio yapo sasa na kama ukitulia vizuri utaona kabisa safari hii yatakua makubwa kuliko kwa sababu ya "mtego"Hatutaki maandamano
Wanaogopa kikundi flani toka Z'bar kilichopewa mamlaka ya kumpoteza yeyote atakayekuwa tofauti na huyu mnayemwita mama. Tumefikia sehemu mbaya sana kama taifaHalafu kuna watu wenye akili timamu na wasomi kabisa wapo kimya tu wanaangalia tu nchi inavyozamishwa. Yani leo 🇹🇿 haina tofauti na Zimbabwe ya enzi za Mugabe.
Tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele wazee wa nchi hii wanaangalia tu.
Never like the system.Kama system haiwezi ku-hold pressure
Nilikuwa nakuona una masihara sana lakini huu ushauri wako unaweza kuwa mshauri wa IkuluTunataka stability, openness, real leadership, real talks, sio hizi move za kuturudisha enzi za giza.
Huo ushauri hawautaki wanachoka ni kuambiwa guys guys you know guys listen guys.. fuuuuuuuuck you guys who is guys? Grown men never should bite their tongue.. tell themNilikuwa nakuona una masihara sana lakini huu ushauri wako unaweza kuwa mshauri wa Ikulu
I read you and commiserate with you!Tanzania deserves better.
Watu wake wanastahili better.
Na generation ya sasa we see EVERYTHING.
Mbona kama watakuwa wajinga sasa😂Safari hii wamepanga wakizima mtandao na kuanza kufanya yao, kuzunguka nyumba kwa nyumba na kukusanya simu za watu au kuzivunja pale pale. Hiyo ndiyo level yao ya kufikiri ilipo.
Sioni uwezekano wa hawa viumbe kutupitisha salama katika huu mtanange. Naona kabisa hali inaenda kuwa mbaya mno.
Lazima UN intervention itahitajika ila watu wengi watakuwa wameumia mno.
Wawe wajinga mara ngapi?Mbona kama watakuwa wajinga sasa😂