Hapana msimopotooshe ni kweli huduma za TTCL zimekuwa duni, kunakosababishwa na baadhi ya vigogo kuwa na hisa katika makampuni mengine ya simu na hivyo kufanya hujuma za makusudi dhidi ya TTCL shirika letu, vinginevyo TTCL INGETISHA HATA ZAIDI YA nssf, speed ipo chini broadband yao inakuwa 153 kbps kama simu ya mchina, imevuka modem yao ya cdma ambayo ina 230 kbps wakati wanayodai ni broadband spidi yake inatakiwa kuwa 2.4mbps., sasa kuweni makini kuna ubadhirifu fulani unaendelea nyie ndio mnamiliki huduma hiyo sasa iweje muwe wachov?