King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,924 Reaction score 97,996 Apr 26, 2012 #1 Wadau ebu niambieni ipi ni recorder nzuri ambayo unayoitumia kurecord online radio,nimejaribu kusearch kwenye gugo nimedownload kama mbili hivi na nikatest lakini sound ipo chini sana hata ukiiweka max,msaada plz.
Wadau ebu niambieni ipi ni recorder nzuri ambayo unayoitumia kurecord online radio,nimejaribu kusearch kwenye gugo nimedownload kama mbili hivi na nikatest lakini sound ipo chini sana hata ukiiweka max,msaada plz.
The Tan-talizer Senior Member Joined Mar 28, 2012 Posts 163 Reaction score 67 Apr 27, 2012 #2 Download Tunein Radio (Pro) kijana!! Kitakavyosikika ndivyo kitakavyotoka