AVO28 Senior Member Joined Jan 4, 2018 Posts 140 Reaction score 240 Apr 15, 2021 #1 Wakuu naomba kujua kama kuna fiber internet provider yeyote ambae huduma zake zinafika mpaka Maeneo ya Tabata. Naomba Contact au Website name..
Wakuu naomba kujua kama kuna fiber internet provider yeyote ambae huduma zake zinafika mpaka Maeneo ya Tabata. Naomba Contact au Website name..
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,552 Reaction score 21,678 Apr 15, 2021 #2 Nitakutumia number PM upate uhakikika ila hao ndio giant wa mji.
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,664 Apr 15, 2021 #3 Donnie Charlie said: Nitakutumia number PM upate uhakikika ila hao ndio giant wa mji. Click to expand... Weka hapa mkuu. Saidia na wengine
Donnie Charlie said: Nitakutumia number PM upate uhakikika ila hao ndio giant wa mji. Click to expand... Weka hapa mkuu. Saidia na wengine
AVO28 Senior Member Joined Jan 4, 2018 Posts 140 Reaction score 240 Apr 15, 2021 Thread starter #4 Donnie Charlie said: Nitakutumia number PM upate uhakikika ila hao ndio giant wa mji. Click to expand... Ntashukuru mkuu
Donnie Charlie said: Nitakutumia number PM upate uhakikika ila hao ndio giant wa mji. Click to expand... Ntashukuru mkuu
AVO28 Senior Member Joined Jan 4, 2018 Posts 140 Reaction score 240 Apr 16, 2021 Thread starter #5 Bump!
T TIN 14 Member Joined Apr 15, 2021 Posts 66 Reaction score 111 Apr 17, 2021 #6 TTCL wana provide pia
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,070 Reaction score 43,513 Apr 17, 2021 #7 Kuna jamaa wa CTV walikuwa maarufu mjini hapa zilipokuja Fiber za kina Zuku na Raha wamekosa mvuto, Rafiki yangu Mmoja wa ilala ameniambia wameanza kuuza internet ilala, sina uhakika kama Tabata wamefika, jaribu kuwa cheki, bei ni kama zuku tu. CTV Business Your Network, Your Way. ctv.co.tz
Kuna jamaa wa CTV walikuwa maarufu mjini hapa zilipokuja Fiber za kina Zuku na Raha wamekosa mvuto, Rafiki yangu Mmoja wa ilala ameniambia wameanza kuuza internet ilala, sina uhakika kama Tabata wamefika, jaribu kuwa cheki, bei ni kama zuku tu. CTV Business Your Network, Your Way. ctv.co.tz
AVO28 Senior Member Joined Jan 4, 2018 Posts 140 Reaction score 240 Apr 18, 2021 Thread starter #8 Chief-Mkwawa said: Kuna jamaa wa CTV walikuwa maarufu mjini hapa zilipokuja Fiber za kina Zuku na Raha wamekosa mvuto, Rafiki yangu Mmoja wa ilala ameniambia wameanza kuuza internet ilala, sina uhakika kama Tabata wamefika, jaribu kuwa cheki, bei ni kama zuku tu. CTV Business Your Network, Your Way. ctv.co.tz Click to expand... Thanks chief...Ntawapigia morning nione wanasemaje.
Chief-Mkwawa said: Kuna jamaa wa CTV walikuwa maarufu mjini hapa zilipokuja Fiber za kina Zuku na Raha wamekosa mvuto, Rafiki yangu Mmoja wa ilala ameniambia wameanza kuuza internet ilala, sina uhakika kama Tabata wamefika, jaribu kuwa cheki, bei ni kama zuku tu. CTV Business Your Network, Your Way. ctv.co.tz Click to expand... Thanks chief...Ntawapigia morning nione wanasemaje.
ulekwe Senior Member Joined Oct 28, 2014 Posts 197 Reaction score 176 Apr 18, 2021 #9 check na jamaa wanaitwa cootel nakumbuka hotel moja hapo tabata ilikua inatumia internet kutoka kwao
AVO28 Senior Member Joined Jan 4, 2018 Posts 140 Reaction score 240 Apr 18, 2021 Thread starter #10 ulekwe said: check na jamaa wanaitwa cootel nakumbuka hotel moja hapo tabata ilikua inatumia internet kutoka kwao Click to expand... Hawa jamaa naona kama hawako kwenye business tena, Website yao iko Down na pia namba yao haipatikani. na last time kupost on facebook ni 3 years ago
ulekwe said: check na jamaa wanaitwa cootel nakumbuka hotel moja hapo tabata ilikua inatumia internet kutoka kwao Click to expand... Hawa jamaa naona kama hawako kwenye business tena, Website yao iko Down na pia namba yao haipatikani. na last time kupost on facebook ni 3 years ago
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,062 Reaction score 995 Apr 18, 2021 #11 Mwanzisha mada, ukikamilisha tafadhali tuletee mrejesho-- wengi wetu tumechoka kununua vifurushi kila mwezi. Mimi pia mkazi wa Tabata.
Mwanzisha mada, ukikamilisha tafadhali tuletee mrejesho-- wengi wetu tumechoka kununua vifurushi kila mwezi. Mimi pia mkazi wa Tabata.
Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,369 Reaction score 12,469 Apr 20, 2021 #12 Chief-Mkwawa said: Kuna jamaa wa CTV walikuwa maarufu mjini hapa zilipokuja Fiber za kina Zuku na Raha wamekosa mvuto, Rafiki yangu Mmoja wa ilala ameniambia wameanza kuuza internet ilala, sina uhakika kama Tabata wamefika, jaribu kuwa cheki, bei ni kama zuku tu. CTV Business Your Network, Your Way. ctv.co.tz Click to expand... Hiyo website inasumbua kufunguka kwenye simu...
Chief-Mkwawa said: Kuna jamaa wa CTV walikuwa maarufu mjini hapa zilipokuja Fiber za kina Zuku na Raha wamekosa mvuto, Rafiki yangu Mmoja wa ilala ameniambia wameanza kuuza internet ilala, sina uhakika kama Tabata wamefika, jaribu kuwa cheki, bei ni kama zuku tu. CTV Business Your Network, Your Way. ctv.co.tz Click to expand... Hiyo website inasumbua kufunguka kwenye simu...
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,070 Reaction score 43,513 Apr 20, 2021 #13 Tetramelyz said: Hiyo website inasumbua kufunguka kwenye simu... Click to expand... Inasumbua kweli, chukua tu namba wapigie. Zile submenu zake inabidi uzivizie kweli.
Tetramelyz said: Hiyo website inasumbua kufunguka kwenye simu... Click to expand... Inasumbua kweli, chukua tu namba wapigie. Zile submenu zake inabidi uzivizie kweli.
Pastory Kimaryo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 967 Reaction score 671 Apr 24, 2021 #14 Hii ni kwamba wanakuketea internet cables (ethernet) nyumbani ama?