$ means USD
Mbps Means unapata Internet Unlimited si ya kupimiwa katika Kibaba (GB). Ni kama una bomba la maji ulilofungulia maji usiku na mchana lakini unalipa fixed amount in a Month. Uwe umefunga bomba au umefungulia u are paying the same.
GB means unapimiwa kwenye kibaba. Ni kama ukinunua maji kwenye kidumu, au ndoo, au pipa au tabker. Yakiisha unanunua mengine.
GB inatumiwa zaidi na Telcom Companies.
Proper ISP na Makampuni wanaotumia Internet wengi wananunua in Mbps au Kbps.