ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Virus hao mkuu!!!...uninstall hyo chrome den scan PC alafu install upya
Sent using Jamii Forums mobile app
may be chrome yko ipo out of date iupdate au cheki saa na tarehe kwny laptop yko km zpo sawa
nduo ujinga wa chrome, net ikiwa chini hai connect , cheki windows update kama iko on uizime
Pia angali hiyo pc yako kama ipo configured kwenye proxy.
If ipo kwa proxy itakupa shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia time kama iko sawa.Nina Laptop Ina window 8 na Google Chrome nikiconnect internet inaconnect Vizuri kabisaa lakini nikiongia Google Chrome ili ni browse haibrowse Japo Internet ipo Strong Sana
The same Internet Nikiconnect Kwenye Laptop Nyingine Inaconnect Vizuri kabisaa na Nina browse Bila shida yoyote kabisaa
Msaada Laptop Yangu knakuwa imekutwa na shida gani Ambayo inafanya nisiwezs kubrowse internet Maana Ita Load mda Mrefu sanaa bila mafanikio
may be chrome yko ipo out of date iupdate au cheki saa na tarehe kwny laptop yko km zpo sawa
Kama ni window 10 basi ina run updates background , Solution kama unatumia Modem wifi nenda settings afu Networks angalia Sehemu imewekwa Metered Connection weka on apoWakuu mm naomba kwa mwenye uelewa anielekeze namna kumenimize matumizi ya data kwenye pc maana naona kama yangu inakula sana mb tofauti na zingine ambazo nilishawai kuzipitia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu danya jaribu kwanza Kufanya troubleshooting io sehemu ya networks au jaribu Browser ingine tofauti na Chrome cheki na firefox au internet explore ili uwe na uhakika tatizo ni chrome au network kwa ujumla, Vyote vikikwama basi nenda device manager uninstall networks drivers then Reboot mashine zitaji install fresh.
Restart hio Chrome mkuu,Nimejaribu Firefox inafunguka ila lugha ya firefox siielewii
Restart hio Chrome mkuu,
Uninstall hiyo mozilla then download yenye English versionsiwezi kunadirisha hii lugha ikawa kwa kingereza?