internet hii ya tigo ni kasheshe

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
jamaa wanaofa nzuri ya kutumia internet yao lakini ipo slow mno.Muda mwingi ni full edge,yaani inaboa mno. kwenye bei ya kununua vifurushi wapo vizuri lakini speed ndo kimeo.Badilikeni bwana kuweni kama wa basi jekundu wapo full hsdpa 24hrs
 
mkuu hizo ni signal na sio speed. Unatumia device gani? Itaje utaambiwa namna ya kuieka 3g all time
 
mi natumia airtel moderm, lakini nao wanazingua, na wamenilazimisha kuchukua bundle ya 15,000/- baada ya kuimaliza kabisa ile ya 400/- wanakera nao tu
 
Vijana wa dot com mna akili fupi sana,hivi Tsh 400/= unataka upewe speed ya kiasi gani?hivi huwa hamtumii akili au mmzoea kulalamika tu?
 
hivi tigo wana internet? mimi simu yangu yenye line ya tigo inasoma 3g lakini haijawahi kufungua hata page moja!
 
means hata kama eneo halina 3g yaweza fanyiwa setting ikakamata 3G full time?

hua ki kawaida signal za edge zinakua strong kuliko za 3g unaweza kuta edge kwenye mnara kuna bar 5 wakati 3g ina bar 2 so kama umeeka dual mode automatical device yake itachagua edge na speed itakua mbovu.

So hapa unaiforce ikae 3g (hizo hizo bar 2) ili upate speed,

kama eneo halina kabisa 3g no way
 
mi natumia airtel moderm, lakini nao wanazingua, na wamenilazimisha kuchukua bundle ya 15,000/- baada ya kuimaliza kabisa ile ya 400/- wanakera nao tu

mkuu ni vizuri ufanye survey ya eneo lako ujue mtandao gani upo cheap na una speed nzuri.

Sana sana angalia tigo na voda ndo atleast bundle zao nzuri
 
zantel wazuri ila bei yao sasa utajuta vivo hvyo na voda..
 
sasa natumia modem ya vodacom Model K3565-Re 2 lakini natumia sana line ya tigo.nikitumia ndo hivyo speed kimeo.nasubiri maujanja yako
mkuu hizo ni signal na sio speed. Unatumia device gani? Itaje utaambiwa namna ya kuieka 3g all time
 
hivi tigo wana internet? mimi simu yangu yenye line ya tigo inasoma 3g lakini haijawahi kufungua hata page moja!

hahaha umenifuraisha sana ,]fanya hivi chukuwa line ya voda weka kwenye simu watakutumia msg zao za kujiunga na internet kubali ukisha maliza toa weka line yako ya tigo ,trigo wakituma zakwako za kujiunga na internet usi angaike nazo ,nilisumbuliwa sana na hili tatizo hadi nilipo pata hii njia saiv nafungua fresh tu page yoyote
 
jamaa wanaofa nzuri ya kutumia internet yao lakini ipo slow mno.Muda mwingi ni full edge,yaani inaboa mno. kwenye bei ya kununua vifurushi wapo vizuri lakini speed ndo kimeo.Badilikeni bwana kuweni kama wa basi jekundu wapo full hsdpa 24hrs
jaribu kufanya hivi nenda kwenye dashboard yako chagua WCDMA ONLY kama bado ina kuwa sLow rudi tena kwenye dashboard yako badilisha na BAND WEKA GSM900/GSM1800/WCDMA2100. IT WORKS PFRO ME JARIBU NA KWAKO RUDI TENA KKKKKKNJKIJ
 
we upo mabwe pande afu unataka 3g net:becky:
 
thanks mkuu
jaribu kufanya hivi nenda kwenye dashboard yako chagua WCDMA ONLY kama bado ina kuwa sLow rudi tena kwenye dashboard yako badilisha na BAND WEKA GSM900/GSM1800/WCDMA2100. IT WORKS PFRO ME JARIBU NA KWAKO RUDI TENA KKKKKKNJKIJ
 
nafurahi kuona mijadala inaenda vzur pasi na malumbano na inaonyesha ni jinsi gani nchi yetu inakuwa upande wa technology thanks netwoker
 
yaan toka nimeanza kutumia airtel sijawai kujaribu hao wengine kwa airtel ni full bata yan raha tupu na kifurush cha 2500/= unaenjoy sio hao wengine mara spd mara gharama loool!!!!
 
unabahati kama kwako bado inafanyakazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…