Habari,kwanza natoa shukrani kwa kunishaur juu ya ununuzi wa Wa simu,namshukuru Mungu kaniwezesha nimenunua NOKIA LUMIA 520,.
Kiukweli nimeshindwa kuunganisha internet na nnatumia line Airtel,na nshawapigia airtel bt cjapata msaada na wamenijubu pumba sana,Naomben msaada wenu wakuu..