tracy wa NJIRO
Member
- Feb 14, 2012
- 71
- 8
guys nlikuwa siamini hizi line zinawork buree, I have just downloaded two movies
anayetaka ani pm nimpe direction bei cheee
anayetaka ani pm nimpe direction bei cheee
guys nlikuwa siamini hizi line zinawork buree, I have just downloaded two movies
anayetaka ani pm nimpe direction bei cheee
Acheni ubinafsi bana .Weka mambo hadharani wadau wajue siyo pm! Pm!Pm ndiyo mdudu gan??
Kama unaona mali sana kaanazo mwenyewe.
anatafuta wachumba huyu
si hadi wajue mtandao gani but true kakaUsiweke hapa wakampuni ya simu yatajua huu mchezo alafu biashara itaisha sasa hivi . Embu ni pm fasta na mimi nile mema ya nchi.
unawashwa wewe me nafaidisha watu we unaleta utani