internet buree siku 15. unlimited. new tunneling software


Sio kweli. Kiwango cha kufungulia akaunti ya kawaida ya akiba kwa CRDB Bank ni elfu 20. Na ukishafungua akaunti unatengeneza kadi free of charge, baada ya wiki 2 utaambiwa urudi kuja kuchukua kadi yako.
 
Sio kweli. Kiwango cha kufungulia akaunti ya kawaida ya akiba kwa CRDB Bank ni elfu 20. Na ukishafungua akaunti unatengeneza kadi free of charge, baada ya wiki 2 utaambiwa urudi kuja kuchukua kadi yako.

tena hio elf 20 sio kama wanakata inabaki kwenye acount yako na kwa wanafunz hadi buku 5 unafungua
 
tena hio elf 20 sio kama wanakata inabaki kwenye acount yako na kwa wanafunz hadi buku 5 unafungua


Wacha nishare na Jamaa maana premium yake ni 60 dayz mpaka ss zimebaki 42 dayz.
Pindi akinifungia vioo kwa kubadili password ndo ntacheck possibility ya kujiunga na CRDB.
Je masharti ya kuwa na wadhamini wa kuaminika walio na Ac ktk bank yao yameondolewa siku hizi?
 

yapo kama kawaida tena wana hitajika wawil...na Ac zao ziwe active
 
dah! Hli ni basi gani kaka? Coz Mkoani hzo port hazihusiki kbsaa hawajafunga 3G

Wa2 tunanyanyasika sana wa mikoani.. nilikuwa mjini hapo wiki iliyopita nimehujumu GB 210 mpaka nikakosa space ya kuhifadhi vitu mkuu.
 
Sina uhakika na KCB as long as zikiwa activated zinaweza kufanya kazi Paypal mkuu
 

Sidhani kama PD inakubali user wawili kuwa onlne .. I mean kushare
 
Sidhani kama PD inakubali user wawili kuwa onlne .. I mean kushare

Haikubali kutumia wawili kwa wakati mmoja sema jamaa anakamua zaidi mida hambayo inakuwa ni usiku so m2 nakamua mchana but sometime nikiwa connected PD inakata dhen inakuja sms "someone try log in Ur AC by another computer" so namuacha akamue mwenyewe.
 
exim bank wao wanataka elfu tano tu, kufungulia account. wanakupa debit card ya mastercard. paypal wanaikubali. tena kununu vitu kwa debit card mara nyingi ni cheap kuliko credit card. credit card inakuwa kama mkopo, hivyo unakuja na riba. lakini debit card, ulichokiweka ndio unachotumia.
ukiapply card yako inakuja baaada ya wiki tatu
lakini tunafanya matangazo ya biashara bila kufaidika sisi wala jf. ........
 
visa electron inaanza kupotea hadhi yako(zinakataliwa sehemu nyingi, na zinakuwa obsolete), maneno ni visa au mastercard.
 
WAKUU ZILE DEBIT CARD ZA MASTER CARD WANAZO TOA NBC ZINAPIGA KaZi????
 
oyaaaaaaaaaa. mbona mm wameniambia exim haikubali?nimeenda ofisini kuuliza.
 
Kuwa na access ya internet banking exim ni mpaka uwe na acc yenye siyo chini ya one million, crdb lazima uwe na visa card, mastercard hazikubali na itakubidi uwaombe wakuonganishe na kuna form za kujaza pia, ila kuna hii bank abc yakwao ndo rahisi kabisa ukipewa tu card ipo connected pia waliniambia wana card unanunua kama vocha yenyewe unailipia tu thamani yake then unaitumia for purchases bila hata kuwa na acc bank
 
internet banking na internationally recognized debit card vitu viwili tofauti.
sie tunaongea kuhusu credit au debit card
 

Mie hili lishanishinda. Nime-resign.
 
Nadhani maelezo ya kwanza sikuyaweka fresh, so ni hivi! Hiyo bank abc wanakupa travellers card ambayo ni international credit card ambayo you can deposit in it one among 5 different currencies according to choice yako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…