Royal Warrior JF-Expert Member Joined Nov 19, 2015 Posts 1,166 Reaction score 2,144 Jan 23, 2016 #1 Amani iwe juu yenu wana jf. Hivi karibuni nmejiunga na mtandao wa Halotel. Lakini bado sijajua bandle unajiunga vipi. Haswa unlimited za Internet. Kwa anaejua tafadhal naomba anijuilishe. Thanks in advance
Amani iwe juu yenu wana jf. Hivi karibuni nmejiunga na mtandao wa Halotel. Lakini bado sijajua bandle unajiunga vipi. Haswa unlimited za Internet. Kwa anaejua tafadhal naomba anijuilishe. Thanks in advance
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Jan 23, 2016 #2 Bonyeza *148*55# (university ofa) au *148*66#(kwa ofa zaidi).