Kuna watu wanasema Russia sio nchi inayovutia kwa watu wanaotaka kuhama.nimebaini wengi wao hawana Elimu ya kutosha.hizi data zinaonesha Russia ni nchi mojawapo ambayo wetu wengi wanahamia.
Hoja ni kuwa wanaohamia hawaondoki, make unaweza kwenda sehemu ukitarajia kitu flani then unafika tu unakuta siyo kabisa. Mfano wanaohamia China ni chini ya 2milioni ila wanaondoka China ni zaidi ya 10milioni ...