international left handers day 13th Aug

Left Handed ni Ulemavu kama ilivyo ulemavu mwingine tu, mf. mtu kuzaliwa na jinsia mbili, mikono mifupi nk maaana ukigoogle unaaambiwa hata ubongo wenu yaani CPU yenu kichwani haijakaa sehemu yake hivyo hayo ni mapungufu ya kimaumbile acheninkutulisha matango pori kwamba nyie ni bright au mmebarikiwa, NYINYI NI WALEMAVU.
 
Naamini pamoja na wengine humu tumeishakusamehe. Mimi sio lefthander ila nina watoto wawili wanaofuatana wote ni lefthanders. Ninajivunia kuwa na watoto lefthanders!
 
Kwahio wakiwa walemavu wasijivunie?
 
Nawasalimia tu,Siku yenu hii lefthanders,tuambieni mnakutana na changamoto gani kwa kutumia mkono wa kushoto hasa Afrika?
Kwa kweli mm sijakutana na changamoto
Najivunia na NI kweli left-handers NI gifted wala si uongo
 
Hongereni,hata kula unatumia left best?
Yap, zamani nilikuwa napata shida nikimpa mtu kitu au kupokea kitu kutoka kwa mtu nikajifunza kutumia mkono was kulia nsiwakwaze watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…