Hongera,ni watu fulani mnaelewa haraka!
Naamini pamoja na wengine humu tumeishakusamehe. Mimi sio lefthander ila nina watoto wawili wanaofuatana wote ni lefthanders. Ninajivunia kuwa na watoto lefthanders!Left Handed ni Ulemavu kama ilivyo ulemavu mwingine tu, mf. mtu kuzaliwa na jinsia mbili, mikono mifupi nk maaana ukigoogle unaaambiwa hata ubongo wenu yaani CPU yenu kichwani haijakaa sehemu yake hivyo hayo ni mapungufu ya kimaumbile acheninkutulisha matango pori kwamba nyie ni bright au mmebarikiwa, NYINYI NI WALEMAVU.
Kwahio wakiwa walemavu wasijivunie?Left Handed ni Ulemavu kama ilivyo ulemavu mwingine tu, mf. mtu kuzaliwa na jinsia mbili, mikono mifupi nk maaana ukigoogle unaaambiwa hata ubongo wenu yaani CPU yenu kichwani haijakaa sehemu yake hivyo hayo ni mapungufu ya kimaumbile acheninkutulisha matango pori kwamba nyie ni bright au mmebarikiwa, NYINYI NI WALEMAVU.
Mungu akubariki sana wewe, wanangu na lefthanders wengine popote walipo Tanzania na ulimwenguni kote!!Lefties tupo
Amen mkuu, nimepokea baraka zako kwa niaba ya wote.Mungu akubariki sana wewe, wanangu na lefthanders wengine popote walipo Tanzania na ulimwenguni kote!!
Hongereni,hata kula unatumia left best?Kwa kweli mm sijakutana na changamoto
Najivunia na NI kweli left-handers NI gifted wala si uongo
Bujibuji the most far gifted left handerKwa kweli mm sijakutana na changamoto
Najivunia na NI kweli left-handers NI gifted wala si uongo
Guitar is not very friendly to usMnakuwa very bright kichwani,.sijui nawewe ni mmoja wapo au ndio wale wenzangu na mimi..
Poa,mtugawie na sisi hizo gifts ambazo mko giftedNikila na kijiko natumia left
Kula kwa mkono natumia right hand

