Naomba kujua office za hawa watu kwa hapa tanzania ziko wapi.
Nimejaribu kutembelea kwenye website yao inaonyesha kuna office zao tanzania,mwenye kujua ziko sehemu gani anijulishe tafadhali.
nenda ofisi ya AA (automobile association) ambayo ipo kwenye jengo linalopakana na posta mpya linaangaliana na jengo jipya la tanzania petrolium (nadhani linaitwago ..... towers). jengo lenyewe pia kuna biashara za pikipiki nk.
Mkuu nakuomba uniulizie wapo Upanga sehemu gani ndugu,tatizo mimi sipo Dar ninge kwenda kuwaulizia pale office zao za zamani zilipo kuwepo ningewapata.
Automobile Association ofTanzania
Magore Street Upanga
Burhani complex unit 14
Dar Es Salaam
Tel: (+255 22) 215 18 37
Email:aat@ctvsatcom. net
Tanzania
Shilling (TZS)
Dialing code (+255)
Automobile Association ofTanzania
Magore Street Upanga
Burhani complex unit 14
Dar Es Salaam
Tel: (+255 22) 215 18 37
Email:aat@ctvsatcom. net
Tanzania
Shilling (TZS)
Dialing code (+255)