Internal HDD inauzwa, mpya haijatumika

Internal HDD inauzwa, mpya haijatumika

nauza internal hard disk 250GB aina ni Samsung haijatumika kabisa nilinunua lakija kabla sijaitumia laptop yangu inagoma kabisa kuwaka hivyo nimeiweka tu. Unaweza kuweka kwenye laptop au kuifanya kama external(kwa kiweka hoising).
Ipo kwenye box lake na ina
-warranty statement summary
-Installation navigator & software cd
-Installation guide

nipo dar, bei 45,000 tuView attachment 1074682
Ushauza mkuu au bado?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom