Intern Information Technology

Intern Information Technology

Flash-Q

Member
Joined
Jan 7, 2022
Posts
8
Reaction score
6
Habariii wana familia mi nikijana muhitimu wa chuo kwenye kada ya tehama nilikua nimekuja hapa kuleta ombi langu la kuomba kupata sehem ya kufanya intern kwa yoyote anaeweza kunisaidia au kama ana mfahamu mtu anaeweza nisaidia kwenye field ya ICT nimejikita sana kweny programming.

Katika programming na knowledge katika maeneo yafwatayo web development (Laravel, Spring,react js) programming languages (Java,php, JavaScript), database pia na general knowledge katika sehem nyingi za ICT maana tukiwa chuo tunafundishwa vitu vingi kama networking, window server , security, system analysis etc.

Nimekua nikitafuta sehem ya kufanya intern bila mafanikio ili nipate work experience inisaidie siku za usoni.....kwa yoyote anaeweza nisaidia namba zangu ni iz

0738886086

Natanguliza shukraniii
 
Habariii wana familia mi nikijana muhitimu wa chuo kwenye kada ya tehama nilikua nimekuja hapa kuleta ombi langu la kuomba kupata sehem ya kufanya intern...
Mungu akutangulie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom