Kenya kuna wanawake kweli? K zao sio tamu then sio mafundi na hawajui kukatika kitandani.
Kenya kuna wanawake kweli? K zao sio tamu then sio mafundi na hawajui kukatika kitandani.[/QUOTE
Kwa wanaume wa kitanzania nimegundua hata kufikiri kwenu ni kudogo. Hivi kwa karne hii kuna mtu anayeooa wakata viuno? Wakenya watatuongoza kwa kila kitu. Hii issue ya EAC mmeikubali hapa ndiyo tutajua ma great thinkers, wakata viuno, wauza sura, watetea hoja.
Do you think here in JF we buy this cheap story!!........am not a mediocre in night circus.kuna baba mdogo wangu aliwahi kusafiri dar siku moja halafu huko akapata binti mrembo sana kwa hoteli alipokua anakaa. basi huyo binti kweli akammind ba mdogo sana usiku moja akaja chumba chake akamwomba amgurumishe kwani eti bwanake alikuwa amemnyima kwa siku nyingi. basi ba mdogo ikabidi atekeleze kazi vizuri usiku mzima. asubuhi kufika huyo binti akamwambia asante sana na mungu ambariki. ba mdogo alishangaa kweli kwani nairobi huwezi bahatika hivyo
Do you think here in JF we buy this cheap story!!........am not a mediocre in night circus.
kwa sasa rate imepanda kwa sababu ya EAC
wakenya wanatafuta entry pass ya kuweza kununua ardhi tz asi unajua kwao kenya kumejaa?
then kwa wanaume wa kenya wanadai WANAWAKE WA TZ WANA SIFA ZA KIKE n so good to marry tofauti na wasichana wao wa kenya...wanaojifanya kujua haki zaidi ya haki yenyewe...
Na kwa nini wanawake wa kenya wapende wanaume wa Tanzania basi?Much of Nairoberry says is true to some extent; I studied in Nairobi in the late 80's and witnessed Tanzanian women (majority ni wachagga) wanawagombania Kenyan men and vowed not to marry a Tanzanian man when it's time for them to marry. Yes, wanawagombania kama vile almasi bcs wanasema Kenyan men know how to make love as compared to Tz guys na hawana akili za kitoto. I didn't believe it then but that's what they said and stuck in my mind for a while. Then nikapata kazi England mwanzoni mwa miaka ya 90 na kufika kule nikawa namfukuzia mbongo fulani lakini alikuwa mgumu ile mbaya. Siku ya siku akanitokea na nikamweleza yangu ya moyoni akaniambia yeye na wenzake hawatoki na wanaume wa kibongo kwani wana akili za kitoto na hawakuwi/mature. Mwaka juzi nilipokuwa Atlanta, Marekani nilikuta mjadala huu kwa rafiki yangu wakilalamika kwamba mademu wa kibongo hawawapendi kaka zao bali wapopo (Nigerians) and other Africans. Kwa hiyo ni kweli kuwa mademu wa kibongo wana prefer outsiders than kaka zao pengine kutokana na hizo sababu wanazozisema kuwa hatukui/mature.
Utamu wa utani kutukanana kidogo. lolMkibishana namna hii bila ya kutukanana, ni afadhali. Wabongo na Wakenya ni kama Watani vile..
si ndio matunda ya EAC, watapataje ardhi bila kuoa au kuolewa na watz.
Strategic positioning tu.
.
Touché! ........... Marhaba!
.
Umesikia kisa cha wanawake wa Nyeri wakiwatwanga magumi madume zao?(caughing)...
kwa kweli sifa kubwa ya wanawake wa Kenya ni assertiveness,
Sio politeness. Na alie waharibia picha ni Mama Lucy Kibaki...
Anyway, I don't like generalities. I have lived in Kenya
and all women I interacted with were quite nice to me.